Tangaza nasi

July 10, 2016

TAREHE YA NDOA YA MASANJA MKANDAMIZAJI YAWEKWA WAZI NIMEKUWEKA HAPA

Anafahamika zaidi kwa jina la Masanja Mkandamizaji lakini jina lake alilopewa na wazazi wake ni Emmanuel Mgaya. Ni mchekeshaji maarufu nchini tanzania, mjasiriamali na mchungaji pia. 

Alifahamika zaidi kupitia kipindi cha uchekeshaji kilichokuwa kikirushwa na EATV na baadae TBC.
Masanja amevunja ukimya na kuweka wazi tarehe atakayopata jiko (atakapo oa). Masanja amesema kuwa anatarajia kufunga ndoa tarehe 14 Agosti 2016.

Kuanzia tarehe 15 Agosti 2016, kambi ya makapera itakuwa imempoteza mtu wao mpendwa, Masanja Mkandamizaji.


Bofya HAPA Ku-install App ya Ruwehy Official ili usi sumbuke kuingia kwenye website

JIUNGE NA Bin RUWEHY SASA
Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za Michezo! Usikose kujiunga na App Yetu Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Bin RUWEHY kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka