Tangaza nasi

January 31, 2017

NECTA YATANGAZA MATOKEO YA KIDATO CHA NNE NA QT 2016

Baraza la Taifa la Mitihani (NECTA) limetangaza matokeo ya mitihani ya kidato cha nne (CSEE) na QT kwa mwaka 2016. Jumla ya watahiniwa 277,283 ambao ni sawa na asilimia 70.09 ya watahiniwa waliofanya mitihani kidato cha nne 2016 wamefaulu.
Wasichana waliofaulu ni 135,859 ambao ni swa na asilimia 67.06 wakati wavulana waliofaulu ni 142,424 sawa na asilimia 73.36.
Kwa mwaka 2015, watahiniwa waliofaulu walikuwa 272,947 sawa na asilimia 67.53. Ukilinganisha na matokeo ya mwaka huu, ufaulu umeongezeka kwa asilimia 2.56. Idadi hii ni ya watainiwa wote, yaani watahiniwa wa shule na watahiniwa wa kujitegemea.
Bonyeza hapa kuweza kuona matokeo ya kidato cha nne mwaka 2016 –>CSEE 2016
Bonyeza hapa kuweza kuona matokeo ya QT mwaka 2016  –>(QT) 2016
Wanafunzi 10 Bora Kitaifa
 1.  Alfred Shauri (Feza Boys)
 2. Cynthia Nehemiah Mchechu (St. Francis Girls)
 3. Erick Mamuya (Marian Boys)
 4. Jigna Chavda (St. Mary Goreth)
 5. Naomi Tundui (Maria Girls)
 6. Victoria Chang’a (St. Francis Girls)
 7. Brian Johnson (Marian Boys)
 8. Esther Mndeme (St. Mary’s Mazinde Juu)
 9. Ally Hassan Koti (ALCP Kilasara)
 10. Emmanuel M. Kajege (Marian Boys)
Wasichana 10 Bora Kitaifa
 1. Cynthia Mchechu (St. Francis Girls)
 2. Jigna Chavda (Mary Goreti)
 3. Naomi Tundui (Maria Girls)
 4. Victoria Chang’a (St. Francis Girls)
 5. Esther Mndeme (St. Mary’s Mazinde Juu)
 6. Christa Edward (St. Francis Girls)
 7. Nelda John (Marian Girls)
 8. Mariamu Shabani (Kifungilo Girls)
 9. Beatrice Mwella (St. Mary’s Mazinde Juu)
 10. Rachel Kisasa (Canossa)
Wavulana 10 Bora Kitaifa
 1. Alfred Shauri (Feza Boys)
 2. Erick Mamuya (Marian Boys)
 3. Brian Johnson (Marian Boys)
 4. Ally Koti (ALCP Kilasara)
 5. Emmanuel Kajege (Marian Boys)
 6. John Ng’hwaya (Nyegezi Seminary)
 7. Clever Yohana (Living Stone Boys)
 8. Desderius Rugabandana (Morning Star)
 9. Kennedy Boniface (Feza Boys)
 10. Assad Msangi (Feza Boys)
Shule 10 Bora Kitaifa
 1. Feza Boys
 2. St. Francis Girls
 3. Kaizirege Junior
 4. Marian Girls
 5. Marian Boys
 6. St. Aloysius Girls
 7. Shamsiye Boys
 8. Anwarite Girls
 9. Kifungilo Girls
 10. Thomas More Machrina
Shule 10 za Mwisho Kitaifa
 1. Kitonga
 2. Nyeburu
 3. Masaki
 4. Mbopo
 5. Mbondole
 6. Somangila Day
 7. Dahani
 8. Ruponda
 9. Makiba
 10. Kidete
JIUNGE NA Bin RUWEHY SASA
Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za Michezo! Usikose kujiunga na App Yetu Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Bin RUWEHY kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka