banner

February 24, 2017

RATIBA YA 16 BORA UEFA EUROPA LEAGUE

RATIBA YA 16 BORA UEFA EUROPA LEAGUE

Baada ya jumla ya michezo 13 kupigwa usiku wa jana na kukamilisha idadi ya jumla ya timu 16 zinazosonga mbele katika michuano ya Europa League, hatimaye leo ijumaa ya February 24 droo ya round ya 16 bora imepangwa.
 Club anayochezea Mtanzania Mbwana Samatta KRC Genk imejikuta mikononi mwa Gent ambayo pia ni club kutoka nchini Belgium.

Whatsapp Button works on Mobile Device only

Start typing and press Enter to search