banner

February 08, 2017

YASOME HAPA MAJINA YOTE 65 YA WATUHUMIWA WA DAWA ZA KULEVYA YALIYOTAJWA NA MAKONDA LEO FEBRUARI 8, 2017

YASOME HAPA MAJINA YOTE 65 YA WATUHUMIWA WA DAWA ZA KULEVYA YALIYOTAJWA NA MAKONDA LEO FEBRUARI 8, 2017

Muda mfupi uliopita, Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, Paul Makonda amezungumza na vyombo vya habari akitoa taarifa kuhusu muendelezo wa mapambano dhidi ya madawa ya kulevya ambayo amesema hii ni awamu ya pili baada ya ile ya kwanza iliyopelekea kupatikana kwa majina ya watuhumiwa 112.
Baada ya Alhamisi iliyopita Makonda kutaja majina ambayo wengi walisema ni watu wadogo sana kwenye biashara hiyo na kumtaka mkuu huyo kuwataja na kuwakamata “mapapa” wanaoingiza dawa hizo, leo Paul Makonda ametaja majina mengine ya watuhumiwa 65 ambayo kati yao yapo majina ya  watu ambao wengi yamewashtua lakini ni miongoni mwa majina yaliyokuwa yakisubiriwa kwa hamu.
Katika majina hayo 65, wafuatao wametikisa zaidi:
1. Iddi Azan (aliyekuwa Mbunge wa Kinondoni jijini Dar es salaam)
Iddi Azan
2. Askofu Josephat Gwajima
Mchungaji wa Kanisa la Ufufuo na Uzima
Mchungaji Gwajima
3. Freeman Mbowe
Mbunge wa Jimbo la Hai mkoani Kilimanjaro na Kiongozi wa kambi ya upinzani Bungeni
Freeman Mbowe
3. Freeman Mbowe
Mbunge wa Jimbo la Hai mkoani Kilimanjaro na Kiongozi wa kambi ya upinzani Bungeni
Yusuf Manji
4. Yusuf Manji
Mkurugenzi wa Quality Group na Mwenyekiti wa sasa wa klabu inayoongoza ligi kuu Tanzania Bara, Yanga.
Hapa chini ni orodha ya watu 65 na kampuni 3 zinazotuhumiwa kujihusisha na biashara ya dawa za kulevya;




Paul Makonda amewataka wote waliopo kwenye list hii ya sasa wafike kituo cha polisi cha kati jijini Dar es salaam siku ya Ijumaa saa tano asubuhi kwa ajili ya mahojiano kuhusu tuhuma dhidi yao juu ya kuhusika na madawa ya kulevya.

Post a Comment

Whatsapp Button works on Mobile Device only

Start typing and press Enter to search