banner

March 12, 2017

KOCHA WA ARSENE WENGER AJIVUNIA USHINDI KUTOKA KWA WACHOVU LINCOLN CITY

KOCHA WA ARSENE WENGER AJIVUNIA USHINDI KUTOKA KWA WACHOVU LINCOLN CITY

Kocha wa Arsene Wenger amesema kiwango kilichoonyeshwa na Arsenal dhidi ya Lincoln City kimerejesha kujiamini kwao baada ya kutolewa na Bayern Munich katika Ligi ya Mabingwa Ulaya.

Arsenal jana iliifunga timu isiyo katika ligi kwa ushindi wa magoli 5-0 katika dimba la Emirates na kutinga nusu fainali ya kombe la FA.


Ushindi huo umekujwa baada ya Arsenal kupoteza kwa ushindi wa magoli 5-1 dhidi ya Bayern Munich katika dimba hilo hilo siku ya jumanne.
Mashabiki wa Arsenal wakiwa na mabango yenye ujumbe wa kumtaka Wenger aondoke madarakani
  Hakuna Mktaba Mpya: Ndivyo bango hilo lililobebwa na mashabiki wa Arsenal lilivyoandikwa

Post a Comment

Whatsapp Button works on Mobile Device only

Start typing and press Enter to search