banner

March 27, 2017

TIMU YA TAIFA YA BURUNDI YATUA DAR ES SALAAM,MAVUGO NDANI

TIMU YA TAIFA YA BURUNDI YATUA DAR ES SALAAM,MAVUGO NDANI

Kikosi cha timu ya taifa ya Burundi, tayari kipo nchini kwa ajili ya mechi ya kirafiki dhidi ya Taifa Stars, Jumanne.
Mshambuliaji wa Simba, Laudit Mavugo ameungana na kikosi hicho leo huku mshambuliaji wa Yanga Amissi Tambwe, yeye ni majeruhi, hakuitwa katika kikosi hicho.
Mavugo atacheza dhidi ya Stars Jumanne, huku akitarajiwa kuchuana na beki wa Simba, Abdi Banda ambaye wanacheza kikosi kimoja, kama Kocha Salum Mayanga atampanga.

Post a Comment

Whatsapp Button works on Mobile Device only

Start typing and press Enter to search