banner

April 23, 2017

BREAKING NEWS: TFF YAMFUNGIA HAJI MANARA MIEZI 12 BILA KUIZUNGUMZIA SIMBA

BREAKING NEWS: TFF YAMFUNGIA HAJI MANARA MIEZI 12 BILA KUIZUNGUMZIA SIMBA

Kamati ya Nidhamu ya TFF, imetangaza kumfungia miezi 12 Msemaji wa Simba, Haji Manara.


Makamu Mwenyekiti wa Kamati ya Nidhamu ya TFF, Wakili Jerome Msemwa amesema Manara amefungiwa miezi 12 kutokana na utovu wa nidhamu.
Akizungumza na waandishi wa habari hivi punde, Msemwa amesema uamuzi huo umefikiwa baada ya kubaini Manara amefanya utovu mkubwa wa nidhamu.

Post a Comment

Whatsapp Button works on Mobile Device only

Start typing and press Enter to search