banner

April 20, 2017

PICHA ZA JEZI WATAKAZOTUMIA YANGA MSIMU WA 2017/2018

PICHA ZA JEZI WATAKAZOTUMIA YANGA MSIMU WA 2017/2018

Imekuwa kawaida kwa vilabu mbalimbali barani Ulaya kuwa na utamaduni wa kutengeneza jezi mpya zenye ubunifu tofauti tofauti kwa ajili ya msimu mpya wa Ligi za kwao na mashindano mbalimbali yatakayokuwa katika msimu husika.
Naambiwa hizi zitakuwa jezi za nyumbani
Kwa taarifa zilizosambaa katika mitandao ya kijamii imeonesha jezi zinazotajwa kuwa ndio jezi mpya zitakazotumiwa na Yanga msimu wa 2017/2018, jezi hizo bado hazijathibitishwa wala kutambulishwa rasmi na uongozi wa Yanga lakini kuna tetesi kuwa ndio zitatumiwa msimu wa 2017/2018.
Hizi zitakuwa jezi za tatu
Naambiwa hizi zitakuwa jezi za ugenini

Whatsapp Button works on Mobile Device only

Start typing and press Enter to search