banner

April 10, 2017

ROMA MKATOLIKI AZUNGUMZIA SAKATA LA KUTEKWA KWAKE NA WASANII WENZAKE, AONGOZANA NA WAZIRI MWAKYEMBE

ROMA MKATOLIKI AZUNGUMZIA SAKATA LA KUTEKWA KWAKE NA WASANII WENZAKE, AONGOZANA NA WAZIRI MWAKYEMBE

Waziri wa habari , Utamaduni Sanaa na Michezo Dk. Harisson Mwakyembe akimsikiliza kulia Msanii wa bongo Fleva kutoka Tanzania Ibrahim Musa aka Roma Mkatoliki akizungumza na waandishi wa habari kwenye ukumbi wa Idara ya Habari Maelezo jioni hii wakati akizungumzia sakata la kutekwa kwake paoja na wasanii wenzake katika studio ya Tongwe iliyopo Masaki jijini Dar es salaam, Roma ameiomba serikali kuwahakikishia ulinzi wasanii pamoja na watanzania kwa ujula kwakuwa inaoyesha hawana usalama kabisa kutokana na tukio lenyewe lilivyowatokea , kushoto ni Mkewa wa Msanii huyo Bi Nancy.
3
Waziri wa habari , Utamaduni Sanaa na Michezo Dk. Harisson Mwakyembe akimsikiliza kulia Msanii wa bongo Fleva kutoka Tanzania Ibrahim Musa aka Roma Mkatoliki akifafanua jambo wakati akizungumza na waandishi wa habari kwenye ukumbi wa Idara ya Habari Maelezo jioni hii wakati akizungumzia sakata la kutekwa kwake paoja na wasanii wenzake katika studio ya Tongwe iliyopo Masaki jijini Dar es salaam
456
Mke wa Roma Mkatoliki pamoja na baadhi ya wasanii wakisubiri kuanza kwa mkutano huo wakati Msanii huyo akijiandaa kuzungumza na waandishi wa habari kuhusu sakata la kutekwa kwake kulia ni Waziri wa habari , Utamaduni Sanaa na Michezo Dk. Harisson Mwakyembe.
7
Waziri wa habari , Utamaduni Sanaa na Michezo Dk. Harisson Mwakyembe akiongozana na wasanii Roma Mkatoliki na wenzake ili kuzungumzia sakata la Roma Mkatoliki lililotokea hivi karibuni.
8
Mke wa Roma Mkatoliki akiwasilikwenye ukumbi wa Idara ya Habari Maelezo.
910
Baadhi ya waandishi wa habari wakiwa kwenye mkutano huo.

Post a Comment

Whatsapp Button works on Mobile Device only

Start typing and press Enter to search