banner

May 12, 2017

PICHA : MUONEKANO WA KWANZA WA WACHEZAJI WA SIMBA WAKIWA NA UZI WA MDHAMINI SPORTPESA

PICHA : MUONEKANO WA KWANZA WA WACHEZAJI WA SIMBA WAKIWA NA UZI WA MDHAMINI SPORTPESA

Kampuni ya kubashiri ya SportPesa tayari ni wadhamini rasmi wa Simba. Wameingia mkataba wa miaka mitano na wachezaji wa Simba wakati wa mapumziko walivaa jezi mpya zenye jina la mdhamini huyo kifuani ikiwa ni mara ya kwanza wakiwa uwanjani wakiivaa Stand United na kushinda kwa mabao 2-1.




Post a Comment

Whatsapp Button works on Mobile Device only

Start typing and press Enter to search