banner

May 11, 2017

PICHA TANO ZA UZI MPYA WA MAN UNITED KWA AJILI YA MSIMU UJAO

PICHA TANO ZA UZI MPYA WA MAN UNITED KWA AJILI YA MSIMU UJAO

Manchester United mapemaa imeamua kuuweka hadharani uzi wake mpya wa msimu wa 2017/18.


Uzi huo unaonekana kurudisha kumbukumbu ya Man United kuhusiana na jezi za enzo hizoo wakati wa kipindi cha Alex Ferguson na wachezaji kama Ryan Giggs walikuwa wakichipukia.





Post a Comment

Whatsapp Button works on Mobile Device only

Start typing and press Enter to search