banner

May 24, 2017

RUFAA YA KOSCIELNY YAGONGA MWAMBA, AFUNGIWA MECHI 3, KUIKOSA FAINALI YA FA CUP

RUFAA YA KOSCIELNY YAGONGA MWAMBA, AFUNGIWA MECHI 3, KUIKOSA FAINALI YA FA CUP

Beki wa Arsenal, Laurent Koscielny anatarajiwa kuukosa mchezo wa fainali ya FA Cup dhidi ya Chelsea kutokana na kufungiwa kutocheza katika mechi tatu.
Beki huyo alipata kadi nyekundu kwa kucheza faulo mbaya kwenye mchezo dhidi ya Everton katika Premier League wikiendi iliyopita.

Klabu yake ilikata rufaa kupinga lakini kadi hiyo kwa Chama Cha Soka cha England (FA) lakini rufaa yao imepigwa chini.

Koscielny alimchezea faulo Enner Valencia kwenye Uwanja wa Emirates ukiwa ni mchezo wa mwisho katika ligi hiyo kwa msimu wa 2016/17.

Post a Comment

Whatsapp Button works on Mobile Device only

Start typing and press Enter to search