banner

October 01, 2018

VIDEO: KILICHOPELEKEA SIMBA WAKABANWA NA YANGA HIKI HAPA

VIDEO: KILICHOPELEKEA SIMBA WAKABANWA NA YANGA HIKI HAPA

Baada ya kumalizika mtanange wa Ligi Kuu Tanzania Bara (TPL) kati ya Simba Vs Yanga, uliopigwa Septemba 30, 2018, wakiongozwa na mtangazaji wa Azam TV, Patrick Nyembela, wachambuzi Ally Mayay na Dominick Salamba, waelezea udhaifu na ufanisi uliooneshwa na timu zote mbili.

Whatsapp Button works on Mobile Device only

Start typing and press Enter to search