banner

January 19, 2020

KOCHA YANGA AWAKA VIBAYA, AZUNGUMZIWA KUFANYIWA UBAGUZI - VIDEO

KOCHA YANGA AWAKA VIBAYA, AZUNGUMZIWA KUFANYIWA UBAGUZI - VIDEO


YANGA bhana! Kama mlivyosikia kwani imeshindwa kutamba kwa mara nyingine mbele ya Azam FC baada ya kupokea kipigo cha bao 1-0 kwenye mchezo uliopigwa kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar, jana huku mvua iliyonyesha ikitibua baadhi ya mipango ya kocha.



Post a Comment

Whatsapp Button works on Mobile Device only

Start typing and press Enter to search