banner

January 19, 2020

LIGI KUU BARA: ALLIANCE 1-1 SIMBA

LIGI KUU BARA: ALLIANCE 1-1 SIMBA




Dakika ya 49 Michael Chinedu anakwenda nje anaingia Shija Mkina
Dakika ya 46 Mwenda anapeleka mashambulizi kwa Kakolanya
Kipindi cha pili kimeanza
HT:Alliance 1-1 Simba
Uwanja wa CCM Kirumba
Goool: Israel Mwenda dk ya 27
Goooal Mkude dk 45+3

Zimeongezwa dakika tatu
Dakika ya 45+3 Jonas Mkude anasawazisha bao kwa guu lake la kulia akiwa nje ya 18 

Dakika ya 43 Alliance wanaliandama lango la Simba
Dakika ya 35 Simba wanapiga kona ya tisa zote hazijazaa matunda
Dakika ya 34 Shiboub anacheza na Kapombe inaondolewa hatari
Dakika ya 30 Chinedu anapewa huduma ya kwanzaDakika ya 27 Patrick Mwenda anafunga Goooal akiwa nje ya 18
Dakika ya 26 Nyoni anamchezea rafu mchezaji wa Alliance nje kidogo ya 18Dakika ya 24  Nyoni anapeleka mashambulizi Alliance
Dakika ya 19 Shiboub anapaisha juu pasi ya Kahata akiwa ndani ya box
Dakika ya 16 Kahata anapeleka mashambulizi kwa Alliance
Dakika ya 15 Simba wanapata kona ya nne inapigwa Chama
Dakika ya 13 Kakolanya anaokoa hatari
Dakika 12 Dilunga anapasha mpira akiwa na minda mlango 
Dakika ya 11 Uwanja wa CCM Kirumba
Dakika ya 10 Chama anapiga kona ya pili kwa Simba


Post a Comment

Whatsapp Button works on Mobile Device only

Start typing and press Enter to search