banner

January 20, 2020

SIMBA YATUA DAR, KOCHA ATOA LAKE KWA WACHEZAJI

SIMBA YATUA DAR, KOCHA ATOA LAKE KWA WACHEZAJI



KIKOSI cha Simba kimerejea leo Dar kikitokea mkoani Mwanza ambako kilikuwa na mechi mbli za Ligi Kuu Bara.

Simba ilicheza na Mbao FC na ilishinda mabao 2-1 kabla ya kumaliza hesabu mbele ya Alliance kwa ushindi wa mabao 4-1.

Kocha Mkuu wa Simba, Sven Vanderboek amesema kuwa anaona fahari kwa wachezaji wake kupata matokeo jambo analopenda kuliona likiendelea siku zote.

Ikiwa imecheza mechi 16 ipo nafasi ya kwanza na pointi 41 nafasi ya pili ni Azam FC yenye pointi 32 imecheza mechi 15.


Post a Comment

Whatsapp Button works on Mobile Device only

Start typing and press Enter to search