banner

February 23, 2020

MTIBWAR SUGAR YAKOMAA NA MATATIZO YAO WENYEWE, KICHAPO MBELE YA MBEYA CITY CHAIBUA HAYA

MTIBWAR SUGAR YAKOMAA NA MATATIZO YAO WENYEWE, KICHAPO MBELE YA MBEYA CITY CHAIBUA HAYA


ZUBER Katwila, Kocha Mkuu wa Mtibwa Sugar, amesema kuwa walipambana kwa kiasi kikubwa kutafuta ushindi mbele ya Mbeya City bahati haikuwa yao.

Mtibwa Sugar ilifungwa bao 1-0 mbele ya Mbeya City mchezo uliocezwa jana, Februari 22 Uwanja wa Sokoine.

Katwila amesema:-"Hakuna ninachoweza kukizuia baada ya matokeo kutokea, tunachokifanya ni kuangalia wapi tumekosea ili kutafuta mbinu za kusonga mbele.

"Matatizo ambayo yanatokea ndani ya timu yanatuhusu sisi wenyewe tutayafanyia kazi, mashabiki watupe sapoti,".

Mtibwa Sugar ipo nafasi ya 15 imecheza mechi 24 imejikusanyia pointi 24. 


Post a Comment

Whatsapp Button works on Mobile Device only

Start typing and press Enter to search