banner

February 23, 2020

TAMBO ZA MASAU BWIRE ZAJIBIWA KWA VITENDO NA POLISI TANZANIA

TAMBO ZA MASAU BWIRE ZAJIBIWA KWA VITENDO NA POLISI TANZANIA

TIMU ya Polisi Tanzania jana imemjibu Ofisa Habari wa Ruvu Shooting kwa vitendo baada ya kuibuka na ushindi wa mabao 3-1.

Bwire alisema kuwa hesabu kubwa ilikuwa ni kusepa na pointi tatu jambo ambalo limekuwa kinyume kwakwe.

Mabao ya Polisi Tanzania kwenye mchezo huo uliochezwa Uwanja wa Ushirika Moashi yalifungwa na Marcel Kaheza aliyetupia mawili dakika ya 13 na 23 na lile la tatu likifungwa na Jimmy Shoji dakika ya 27.

Bao pekee la kufutia machozi kwa  Ruvu Shooting lilipachikwa na Shaban Kisiga dakika ya  14.


Post a Comment

Whatsapp Button works on Mobile Device only

Start typing and press Enter to search