Pedro akishangilia kishujaa baada ya kuifungia Chelsea bao la kwanza dakika ya 72 katika ushindi wa 2-0 dhidi ya ‘wagumu’ AFC Bournemouth Uwanja wa Stamford Bridge mjini London. Bao la pili limefungwa na Eden Hazard dakika ya 85
Watatu mbaroni kwa kusafirisha dawa za kulevya
-
DAR ES SALAAM: WAKAZI watatu wa Kigamboni mkoani Dar es Salaam
wamepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu wakikabiliwa
na mashtaka y...
3 months ago