banner

February 14, 2020

SIMBA YAANZA KUIWINDA LIPULI, MZUNGU AZITAKA POINTI TATU

SIMBA YAANZA KUIWINDA LIPULI, MZUNGU AZITAKA POINTI TATU

KIKOSI cha Simba kipo mkoani Iringa kwa sasa kwa ajili ya mchezo wa Ligi Kuu Bara utakaochezwa kesho, Februari 15 Uwanja wa Samora.

Jana kilianza kufanya mazoezi kwa ajili ya kujiandaa na mchezo wao huo baada ya ktoka kushinda kwa mabao 3-0 mbele ya Mtibwa Sugar.

Sven Vandenbroeck, Kocha Mkuu wa Simba amesema kuwa kikubwa anachotarajia ni kuona wachezaji wake wakipambana kupata pointi tatu muhimu.

Mchezo wa kwanza uliochezwa Uwanja wa Uhuru, Simba iliibuka na ushindi wa mabao 4-0.


Post a Comment

Whatsapp Button works on Mobile Device only

Start typing and press Enter to search